Kanye Omari West (amezaliwa tar. 8 Juni 1977)[1] ni mshindi mara ishirini na moja wa Tuzo za muziki za Grammy, akiwa kama rapa-mtayarishaji bora wa muziki kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Kanye West.
Mwanamziki Kanye West alizaliwa lini?
Ground Truth Answers: 8 Juni 19778 Juni 19778 Juni 1977
Prediction: